Welcome to Tanzaniska Riksförbundet
(Monday - Friday)
Näsby Alle 6 183 55 Täby Stockholm - Sweeden

Admin

TANRIKS DIGITAL

Tanriks inawakaribisha Wanachama na Diaspora wapya nchini Sweden kutumia mfumo wake wa kidigatali katika kulipa Ada na kujiandikisha Uanachama. Mfumo huu ni rafiki wa uhakika na unaweza kutumika wakati na mahali popote na mtumiaji kupitia simu. ULIPAJI WA ADA KWA WANACHAMA WALIOJISAJILI 1. Tembelea tovuti yetu 2. Bonyeza member login 3. Weka Email Address yako […]
Read More

MKUTANO MKUU MALMÖ 2022

MKUTANO MKUU NA UCHAGUZI WA TANRIKS 2022 Uongozi wa Tanriks unapenda kuwajulisha Diaspora Watanzania kuwa, Mkutano Mkuu wa Tanriks 2022 utafanyika Malmö tarehe 26 Machi 2022. Uamuzi huo umefikiwa baada ya mkutano wa Bodi ya Ushauri ya Tanriks uliofanyika tarehe 26 Septemba 2021. Mgeni rasmi ni Mhe.Balozi Grace Martin Olotu , Balozi wa Tanzania Nordic, […]
Read More

SHEREHE YA MIAKA 10 YA TANKRIKS MALMÖ

TANRIKS MIAKA KUMI 09 FEBRUARI 2022 Tanriks inawakaribisha Diaspora na Umma kushiriki pamoja katika tafrija ya kusherekea miaka kumi ya tangu kuanzishwa kwake. Tafrija itafanyika machi 26  2022 katika ukumbi wa SOFIELUNDS FOLKET HUS, ROLFSGATAN 16 MALMÖ kuanzia saa kumi na mbili joini baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa Tanriks 2022. Ada kwa mshiriki […]
Read More

MKUTANO MKUU NA UCHAGUZI WA VIONGOZI 2022

Baraza la Diaspora Watanzania Sweden Tankriks linawatangaza wanachama wote Mkutano Mkuu 2022 na Uchaguzi wa Viongozi utakaofanyika mjini Malmo Tarehe 26 March 2022, Diaspora wote mkanaribishwa. Ili kuweza kushirika katika uchaguzi kwa kuchaguliwa kuwa kiongozi Hakikisha umejisajili na ni mwanachama kamili wa Tankriks Download fomu za UONGOZI NA MAADILI Jaza kisha Tuma nakala asilia  kwa […]
Read More