Welcome to Tanzaniska Riksförbundet
(Monday - Friday)
Näsby Alle 6 183 55 Täby Stockholm - Sweeden

Mkutano Mkuu TANRIKS 2024

Baraza la diaspora Watanzania Sweden – Tanriks linapenda kuwajulisha wanachama, taasisi na umma kuwa, mkutano mkuu na uchaguzi wa viongozi utafanyika tarehe 27 April 2024 katika ukumbi wa Budo Huset Uppsala. Svartbäcksgatan 86, 753 35 Uppsala.

Mkutano utaanza saa tisa mchana (15:00) hadi saa saba na nusu usiku (01:00).Baada ya mkutano mkuu na uchaguzi, kutakuwa na burudani, vinywaji na chakula kwa kila mshiriki kujilipia mwenyewe.Taratibu kamili za huduma hizo zitatolewa baadaye.

Uongozi unawakumbusha wanachama kulipa ada zao ili kuweza kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa Tanriks. Unaweza kulipa Ada yako kupitia Tanriks Swish namba: 1230227694, au kwa kutumia kiungo hiki : Member Login – TANRIKS na kulipa ada kutokea kwenye profile yako . Kwa wanachama wapya tafadha l i tumia kiungo hiki: Membership Plans – TANRIKS

Kwa taarifa zaidi kuhusu mkutano mnaweza kuwasiliana na ndugu Jumaa Magambo, makamu mwenyekiti, Simu +46704470323.

 

Kuthibiti ushiriki , Tafadhali jaza fomu apa chini

 

 

 

Leave A Comment