Welcome to Tanzaniska Riksförbundet
(Monday - Friday)
Näsby Alle 6 183 55 Täby Stockholm - Sweeden

MKUTANO MKUU 2023

TANGAZO KWA WANACHAMA NA UMMA

MKUTANO MKUU 2023 NA USIKU WA M.U.U

Baraza la Diaspora wa Tanzania Sweden – Tanriks linawajulisha wanachama na umma kuwa mkutano mkuu 2023 na usiku wa Mazingira, Utamaduni & Utalii, utafanyika tarehe 11/12 Machi 2023, Jijini Gothernburg.Tarehe hii mpya inabadilisha tarehe ya awali ya 25 Machi 2023 iliyotangazwa kuwa siku ya kufanyika mkutano huo. Kwa taarifa zaidi bonyeza hapa: mkutano mkuu 2023 na usiku wa M.U.U

1 Comment

  • Magreth Honda

    March 16, 2023 - 11:21

    Umoja ni guvu yetu

Leave A Comment