MKUTANO MKUU TANRIKS 2023
wanachama wote mnakaribishwa kushiriki katika mkutano huo na mnaruhusiwa kukaribisha wenzenu katika usiku wa mazingira, utamaduni na utalii. Vigezo na masharti kuzingatiwa. Tanriks inawaleta watu wote pamoja. kwa taarifa zaidi tumia simu +46704956650
MKUTANO MKUU 2023
TANGAZO KWA WANACHAMA NA UMMA MKUTANO MKUU 2023 NA USIKU WA M.U.U Baraza la Diaspora wa Tanzania Sweden – Tanriks linawajulisha wanachama na umma kuwa mkutano mkuu 2023 na usiku wa Mazingira, Utamaduni & Utalii, utafanyika tarehe 11/12 Machi 2023, Jijini Gothernburg.Tarehe hii mpya inabadilisha tarehe ya awali ya 25 Machi 2023 iliyotangazwa kuwa siku […]
TANRIKS TANZANIA DAY 2022
Tanriks Tanzania day 2022 Tanriks cordially invites members, families and friends to join us on Tanzanians Day voyage from Stockholm to Mariehamn. The voyage will include a Tanzanian cultural display, Diaspora and children’s activities. For more info and confirmation please click the link below: https://bit.ly/3Rf2atT and fill the participation form. Email: info@tanriks.com Tel:+46704470323 Tanriks brings all People Together Leadership Team […]
MIRATHI KWA DIASPORA NA WAGENI KISHERIA
MKUTANO MAALUMU WA TANRIKS KUJADILI MIRATHI KWA DIASPORA NA WAGENI KISHERIA. Baraza la diaspora wa Tanzania Sweden -Tanriks linawakaribisha wanachama na diaspora wote na familia zao, katika mkutano maalumu wa kujadilia haki za diaspora za urithi kupitia sheria ya mirathi ya Tanzania. Katika mkutano huo wanasheria wataufahamisha umma tafsiri ya mahakama kuhusu haki ya mirathi […]
WAGOMBEA UCHAGUZI 2022
Tanriks inapenda kuwajulisha wanachama na Umma , wanachama wake waliyoomba Uongozi kwa uchaguzi wa 2022 utakaofanyika Mjini Malmo , usoma zaidi bonyeza apa TANGAZO WAGOMBEA R
TARATIBU ZA UCHAGUZI MKUTANO MKUU TANRIKS 2022
Tanriks inaaomba wanachama na washiriki wote wa Mkutano Mkuu 2022 na sharehe ya kuadhimisha miaka kumi ya Tanriks kusoma bulletin hii muhimu Ahsante UCHAGUZI BULLETIN 2022
TANRIKS DIGITAL
Tanriks inawakaribisha Wanachama na Diaspora wapya nchini Sweden kutumia mfumo wake wa kidigatali katika kulipa Ada na kujiandikisha Uanachama. Mfumo huu ni rafiki wa uhakika na unaweza kutumika wakati na mahali popote na mtumiaji kupitia simu. ULIPAJI WA ADA KWA WANACHAMA WALIOJISAJILI 1. Tembelea tovuti yetu 2. Bonyeza member login 3. Weka Email Address yako […]
MKUTANO MKUU MALMÖ 2022
MKUTANO MKUU NA UCHAGUZI WA TANRIKS 2022 Uongozi wa Tanriks unapenda kuwajulisha Diaspora Watanzania kuwa, Mkutano Mkuu wa Tanriks 2022 utafanyika Malmö tarehe 26 Machi 2022. Uamuzi huo umefikiwa baada ya mkutano wa Bodi ya Ushauri ya Tanriks uliofanyika tarehe 26 Septemba 2021. Mgeni rasmi ni Mhe.Balozi Grace Martin Olotu , Balozi wa Tanzania Nordic, […]
SHEREHE YA MIAKA 10 YA TANKRIKS MALMÖ
TANRIKS MIAKA KUMI 09 FEBRUARI 2022 Tanriks inawakaribisha Diaspora na Umma kushiriki pamoja katika tafrija ya kusherekea miaka kumi ya tangu kuanzishwa kwake. Tafrija itafanyika machi 26 2022 katika ukumbi wa SOFIELUNDS FOLKET HUS, ROLFSGATAN 16 MALMÖ kuanzia saa kumi na mbili joini baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa Tanriks 2022. Ada kwa mshiriki […]