Welcome to Tanzaniska Riksförbundet
(Monday - Friday)
Näsby Alle 6 183 55 Täby Stockholm - Sweeden

TANRIKS DIGITAL

Tanriks inawakaribisha Wanachama na Diaspora wapya nchini Sweden kutumia mfumo wake wa kidigatali katika kulipa Ada na kujiandikisha Uanachama. Mfumo huu ni rafiki wa uhakika na unaweza kutumika wakati na mahali popote na mtumiaji kupitia simu.

ULIPAJI WA ADA KWA WANACHAMA WALIOJISAJILI

1. Tembelea tovuti yetu
2. Bonyeza member login
3. Weka Email Address yako kwenye Username
4. Weka Password yako

5. Ukiingia kwenye My Account Bonyeza Subscription
6. Chagua Subscription na Bonyeza sign Up
7. Bonyeza Complete Purchase
8. Weka taarifa zako na Bonyeza Pay

9. Risiti yako ya malipo itatumwa moja kwa moja kwenye barua pepe yako

USAJILI KWA DIASPORA WANACHAMA WAPYA TANRIKS

1. Tembelea tovuti yetu
2. Bonyeza Membership
3. Bonyeza Membership Plan
4. Chagua Subscription na Bonyeza sign up
5. Weka taarifa zako na Bonyeza Register
6. Weka taarifa za malipo na Bonyeza Pay

7. Risiti yako ya malipo itatumwa moja kwa moja kwenye barua pepe yako.

Kwa msaada wa kitaaluma Whatsapp +46724511963 au barua pepe admin@tanriks.com

 

Asanteni Sana

Tanriks inawaleta Watu wote Pamoja

TANRIKS DIGITAL

Leave A Comment