Welcome to Tanzaniska Riksförbundet
(Monday - Friday)
Näsby Alle 6 183 55 Täby Stockholm - Sweeden

MKUTANO MKUU NA UCHAGUZI WA VIONGOZI 2022

Baraza la Diaspora Watanzania Sweden Tankriks linawatangaza wanachama wote Mkutano Mkuu 2022 na Uchaguzi wa Viongozi utakaofanyika mjini Malmo Tarehe 26 March 2022, Diaspora wote mkanaribishwa.

Ili kuweza kushirika katika uchaguzi kwa kuchaguliwa kuwa kiongozi

  • Hakikisha umejisajili na ni mwanachama kamili wa Tankriks
  • Download fomu za UONGOZI NA MAADILI
  • Jaza kisha Tuma nakala asilia  kwa Tanriks kupitia anuani: Tanriks. Box 1089, 10139 Stockholm. Sweden, lakini  pia tambaza(Scan) fomu hizo na kuzituma kwa Tanriks kupitia barua pepe: uchaguzi@tanriks.com
  • Fomu zinapatikana hapa chini

FOMU YA UONGOZI-MAADILI TANRISK 2022

FOMU YA UONGOZI-MAADILI TANRISK 2022

Leave A Comment