Tanriks inapenda kuwajulisha wanachama na Umma , wanachama wake waliyoomba Uongozi kwa uchaguzi wa 2022 utakaofanyika Mjini Malmo , usoma zaidi bonyeza apa TANGAZO WAGOMBEA R
Tanriks inaaomba wanachama na washiriki wote wa Mkutano Mkuu 2022 na sharehe ya kuadhimisha miaka kumi ya Tanriks kusoma bulletin hii muhimu Ahsante UCHAGUZI BULLETIN 2022
MKUTANO MKUU NA UCHAGUZI WA TANRIKS 2022 Uongozi wa Tanriks unapenda kuwajulisha Diaspora Watanzania kuwa, Mkutano Mkuu wa Tanriks 2022 utafanyika Malmö tarehe 26 Machi 2022. Uamuzi huo umefikiwa baada ya mkutano wa Bodi ya Ushauri ya Tanriks uliofanyika tarehe 26 Septemba 2021. Mgeni rasmi ni Mhe.Balozi Grace Martin Olotu , Balozi wa Tanzania Nordic, […]
TANRIKS MIAKA KUMI 09 FEBRUARI 2022 Tanriks inawakaribisha Diaspora na Umma kushiriki pamoja katika tafrija ya kusherekea miaka kumi ya tangu kuanzishwa kwake. Tafrija itafanyika machi 26 2022 katika ukumbi wa SOFIELUNDS FOLKET HUS, ROLFSGATAN 16 MALMÖ kuanzia saa kumi na mbili joini baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa Tanriks 2022. Ada kwa mshiriki […]
Baraza la Diaspora Watanzania Sweden Tankriks linawatangaza wanachama wote Mkutano Mkuu 2022 na Uchaguzi wa Viongozi utakaofanyika mjini Malmo Tarehe 26 March 2022, Diaspora wote mkanaribishwa. Ili kuweza kushirika katika uchaguzi kwa kuchaguliwa kuwa kiongozi Hakikisha umejisajili na ni mwanachama kamili wa Tankriks Download fomu za UONGOZI NA MAADILI Jaza kisha Tuma nakala asilia kwa […]
Tanzania Diaspora Council in Sweden-Tanriks in collaboration with the Tanzanian Embassy in Sweden. Invite Diaspora and public to celebrate 60 years of Mainland Tanzania Independence, 59 years of Tanzania Union and welcome H.E Ambassador Grace Alfred Olotu, Tanzania’s Ambassador to the Nordic, Baltic and Ukraine. More detail DOWNLOAD PDF