Welcome to Tanzaniska Riksförbundet
(Monday - Friday)
Näsby Alle 6 183 55 Täby Stockholm - Sweeden

MKUTANO MKUU TANRIKS 2023

wanachama wote mnakaribishwa kushiriki katika mkutano huo na mnaruhusiwa kukaribisha wenzenu katika usiku wa mazingira, utamaduni na utalii. Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Tanriks inawaleta watu wote pamoja.  kwa taarifa zaidi tumia simu +46704956650

Leave A Comment